Wakazi
wa jiji la Dar es salaam wakikinga maziwa kwenye kontena la kampuni ya
maziwa ya Tanga Fresh baada ya kichwa cha kontena hilo kuchomoka na
kuacha njia eneo la ubungo mataa leo Julai 24, 2013.likitokea Mkoani Tanga hakuna aliyejeruhiwa kwenye ajali hiyo.
Kila siku tunanunua: Ustadhi naye akijipatia maziwa bila kujali yana usalama au hapana..ni fullshangwe
Jeshi la polisi likiwa kwenye eneo la tukio.
Kichwa
chenye namba za usajili T 787 AFX lilobeba kontena la maziwa likiwa
pembeni ya barabara (Picha na FULLSHANGWE Blog)