Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wachezaji wa Taifa Stars
aliokutana nao Uwanja wa ndege wa Mwanza leo Julai 24, 2013 wakati yeye
akielekea Bukoba na Taifa Stars wakiwa wamemaliza kambi na sasa wanaelekea Uganda kupambana na The Cranes katika mechi ya marudiano ya CHAN .