Sakata la kodi ya umiliki wa kadi za simu (simcard tax) sasa limekuwa personal kati ya waheshimiwa.
Mbunge wa Ubungo, Mh. John Mnyika ametoa kauli ndefu kuhusu sakata hilo,
na kutoa namba za simu za mikononi za baadhi ya waheshimiwa, akiwemo Mh. January Makamba, hadharani ili
wananchi wanaotaka kutoa dukuduku lao, wawasiliane nao. Inaonekana makubwa yamemkuta mh. Makamba kufuatia tendo hilo.
wananchi wanaotaka kutoa dukuduku lao, wawasiliane nao. Inaonekana makubwa yamemkuta mh. Makamba kufuatia tendo hilo.
Angalia alichopost Mh. January Makamba katika
mitandao ya Twitter na Facebook hapa chini kuona yaliyomsibu baada ya
wananchi walionuna kuhusu simcard tax kupata namba yake ya simu:
Facebook: