Mbunge wa jimbo la Makete ambaye pia ni naibu waziri wa maji Mhandisi Dk. Binilith Mahenge (wa pili kushoto) akizungumza na wataalamu kutoka wizara ya nishati na madini waliofika kuangalia maporomoko ya maji yaliyopo katika kata ya Ipelele wilayani Makete kama yanaweza kuzalisha kiasi gani cha umeme, hapa ni mwanzo wa safari ya kwenda msituni kuangalia maporomoko hayo
Hapa wakijadiliana njia ya kupita kwenda yalipo maporomoko hayo
Naibu waziri wa maji na mbunge wa MaketeDk Binilith Mahenge akivuka mto huo wenye maporomoko kwenda ng'ambo ya pili ili wafike yalipo maporomoko hayo
Naibu waziri Dk Mahenge akipanda milima
Mtaalamu kutoka wizarani akipanda milima kuelekea yalipo maporomoko
maporomoko yenyewe
Naibu waziri wa maji Dkt Binilith Mahenge ambaye pia ni naibu waziri wa maji akiangalia maporomoko yaliyopo kata ya Ipelele