Jana
usiku katika kata ya minepa jimbo la ulanga magharibi vijana wa ccm
(green guard) waliwavamia viongozi wa CHADEMA hususani mlinzi wa mgombea
udiwani kwa nia ya kutaka kumuua mgombea udiwani wa kata hiyo bw.
Maiko, waliojeruhiwa ni m/kiti wa jimbo bw. Kibam Ally Mohammed aliyevaa
shati ya draft, katibu wa jimbo bw. Lucas Lihambalimo aliyevaa shati
jekundu na bw. Severin Matanila k/mwenezi tawi la Minepa aliyekaa na
mwenye bandeji na ni mlinzi wa mgombea.
WATAZAME VIONGOZI WA CHADEMA ULANGA MAGHARIBI BAADA YA KUJERUHIWA VIBAYA
By
Unknown
at
Sunday, June 16, 2013
