Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe maalumu toka kwa Rais wa Benki
ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt Donald Kaberuka ulioletwa kwake na
mwakilishi mkazi wa Benki hiyo nchini Mhe Tonia Kandiero Jana Juni 13,
2013 katika Ikulu Ndogo Dodoma.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na mwakilishi mkazi wa Benki ya
Maendeleo ya Afrika (AfDB) hiyo nchini Mhe Tonia Kandiero jana Juni 13,
2013 katika Ikulu Ndogo Dodoma baada ya kupkkea ujumbe maalumu toka kwa
Rais wa Benki ya hiyo Dkt Donald Kaberuka.
PICHA NA IKULU

