skip to main |
skip to sidebar
HII NI RATIBA YA MAZISHI YA MSANII LANGA
Ratiba
ya mazishi ya ndugu yetu Langa Kileo itakuwa kama ifuatavyo, msiba upo
nyumbani kwa wazazi wa Langa maeneo ya Mikocheni nyuma ya Hosp ya AAR
zamani kulikuwa na ofisi za Benchmark Production.
Mwili wa marehemu
utaagwa siku ya Jumatatu majira ya saa 7 mchana na baada ya hapo mwili
utaelekea makaburi ya Kinondoni kwa mazishi majira ya saa kumi alasiri.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi