Ukarabati wa Barabara kwa Kiwango cha Lami ukiendelea Mjini Njombe.
TANROAD Njombe waandaa sehemu za
kushushia na kupakilia Abiria Mjini Njombe,hapa ni eneo la Chaugingi
karibu na Ofisi za TANESCO Wilaya ya Njombe.
Ukarabati wa Barabara ukiendelea katika Barabara kuu ya Iringa-Songea kwa kufanya upanuzi wa Kiwango cha Lami.
Shughuli ya kupanua barabara wakati ikendelea wakati mwingine imekuwa ikisababisha Foleni.
Picha na Prosper Mfugale.