PICHA ZA MATUKIO YA MDAHALO ULIOFANYIKA UKUMBI WA SUMASESU TANDALA WILAYANI MAKETE

 Mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro akifungua mdahalo uliofanyika katika ukumbi wa SUMASESU Tandala, ulioandaliwa na mtandao wa asasi zisizo za kiserikali wilayani hapo UMANGO
Wananchi wakimsikiliza mkuu wa wilaya
 Kutoka kushoto Afisa tawala wilaya ya Makete Onespholia Ngogo, makamu mwenyekiti halmashauri ya wilaya ya Makete Jison Mbalizi, Mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro na Mwenyekiti wa UMANGO Mchungaji Ezekiel Sanga
Mwongozaji wa mdahalo huo akiongoza mdahalo huo
 Katibu wa UMANGO Bi. Maurisia Sanga akifafanua jambo wakati wa mjadala huo
Waheshimiwa madiwani halmashauri ya wilaya ya Makete wakifuatilia kwa makini mjadala huo
 Afisa mipango Barton Sinene akisoma taarifa ya utekelezaji wa shughuli za halmashauri kwa niaba ya mkurugenzi mtendaji
Mshiriki BK akiuliza swali kuhusu umeme kufika Tandala
Mshiriki Alexander Mbilinyi akiuliza swali kwa viongozi wake
Method Chengula akiuliza kuhusu kutothaminiwa kwa michango ya wananchi Tandala
Mchungaji Adili Pagalo akiuliza swali kuhusu umeme Isapulano na barabara ya Utengule
Mkuu wa shule ya sekondari Lupalilo John Lyombo akiuliza swali kuhusu madai ya waalimu
 Bw.Linus Sanga ambaye ni mlemavu akiuliza swali kuhusu haki za walemavu kupuuzwa
Bi Tabia Ilomo akitaka ufafanuzi kuhusu ujenzi wa stendi ya Tandala
 Mdiakonia Elikana Kitahenga akiuliza maswali yake
Dk Mcheshi akiuliza maswali
 Wananchi wakifuatilia
Mshiriki Mathias Chaula akiuliza swali kuhusu sekta ya elimu
 Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Makete Daniel Okoka akijibu maswali ya washiriki waliyoyauliza
Afisa Mipango Barton Sinene akijibu hoja kwenye mdahalo huo
 Mwanasheria wa halmashauri ya wilaya ya Makete Bi Rosemary Wambali akijibu masuala ya kisheria yaliyoulizwa na wananchi
 Diwani wa kata ya Kipagalo Mzee Mwandilava akijibu hoja kwenye mdahalo huo
 Mwenyekiti wa UMANGO Mchungaji Ezekiel Sanga akijibu maswali waliyoulizwa na wananchi
 kaimu mtendaji kata ya Tandala Ambele Sanga akifafanua kuhusu michango ya wananchi wa kata yake
 Mwakilishi wa idara ya maendeleo ya jamii Bi Jackline Mroso akitoa ufafanuzi kuhusu umuhimu wa asasi zisizo za kiserikali wilayani hapo
Makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Makete Jison Mbalizi akifunga mdahalo huo
Mwenyekiti wa halmashauri ya Makete (kushoto) akisalimiana na diwani wa kata ya Ikuwo mara baada ya kumalizika kwa mdahalo


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo