Picha zikionesha jinsi Masele alivyopata ajali huko barabara ya 14 Tanga, inasadikika kuwa msanii huyo alimgonga mtu akiwa kwenye harakati za kuegesha gari na ndipo wananchi wakamvamia kwa lengo la kumpiga, lakini aliwasha gari na kuanza kukimbia ili kuokoa maisha yake lakini inaaminika pia wakati akikimbia alimgonga tena mtu mwingine na ndipo wananchi walipoamua kulishambulia gari lake na yeye pia ila Masele hajafariki, ni mzima. Taarifa zaidi tutazidi kuwapatia(Pichs kwa hisani ya swahilitanzania)
PICHA JINSI MSANII MASELE ALIVYOPATA AJALI NA KUNUSURIKA KIFO
By
Unknown
at
Saturday, June 15, 2013