MWENYEKITI wa makada wa vyuo vikuu mkoa wa vyuo wilaya ya Dar es
salaam, Ndugu Asenga Abubakar, akifungua kongamano maalum la makada,
wapenzi na wa mashabiki wote wa CCM ambao wapo vyuoni, lilofanyika leo
Karimjee Jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya mahafali ya kuwaaga
wanachama wenzao wanaomaliza vyuo mwaka huu wa 2013 mkoa wa Dar es
salaam. Kishoto ni Katibu wa CCM wilaya ya Vyuo Dar es Salaam, Daniel
Zenda.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia, Januari Makamba akizungumza kwenye kongamano hilo.
Wajumbe waakiwa kwenye kongamano hilo leo (Picha zote na BASHIR NKOROMO