LEO NDIYO LEO KILIMANJARO MUSIC AWARDS 2013 MLIMANI CITY

 
                   Hapa mafundi wanaweka mitambo sawa !!
IMG_0730
          Wako bize ajabu ili mradi mambo yaende sawa!!
IMG_0734
                                                   Maandalizi yanaendelea!!
 
  Leo ysiku yenyewe ambayo wasanii waliotajwa kuwania tuzo za mwaka huu za muziki wa Tanzania, Kilimanjaro Tanzania Music Awards, KTMA watajua hatma yao.

Tuzo za Kili zitatolewa leoo June 8 kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini  Dar  es Salaam.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo