Makaburini.
Ndugu na jamaa wakijiandaa na mazishi.
Mama Mzazi wa Suzana Mungy bibi Agnesi Julian Lukindo(75) akiweka udongo katika kaburi la mumewe mpendwa mzee Julian Lukindo Bibi Suzana Mungy akiwa pamoja na ndugu zake makaburini pembeni ya jeneza la Baba yao Mzee Julian Lukindo
Bibi
Suzana Mungy wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) akiweka udongo
katika kaburi la Baba yake mzazi Mzee Julian Kibindo Lukindo(78) ambaye
amezikwa jana jioni kijijini kwake Muheza Tanga Mzee Lukindo amezaliwa 1935 na amefariki tarehe 10june2013.
Picha ya Marehemu Mzee Julian Kibindo Lukindo
PICHA NA CHRIS MFINANGA