skip to main |
skip to sidebar
AJALI YA LORI YAUA TABORA
ONYO: picha hizi za chini zinatisha
MHUDUMU WA CHUMBA CHA MAITI KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA
TABORA AKIMHUDUMIA KWA AJILI YA MAZISHI
MWENDESHA BAISKELI MJINI TABORA MAARUFU KAMA DALADALA ALIYEJULIKANA KWA
JINA LA DOTO AMEFARIKI DUNIA KATIKA MAZINGIRA YA KUTATANISHA ALIPOKUWA
AMELISHIKILIA LORI HILO LILILOKUWA KATIKA MWENDO WAKE WA KAWAIDA
LILIPORUKA KWENYE TUTA ENEO LA IPULI SHULE YA MSINGI MANISPAA YA TABORA
NAYE AKAINGIA KWENYE GURUDUMU LA NYUMA NA KUKANYAGWA UTUMBO UKAMWAGIKA NA
KUFA PAPO HAPO.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi