Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda
akiweka saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Waziri wa zamani wa
serikali ya Muungano wa Tanzania, Alfred Tandau, nyumbani kwa marehemu,
Magomeni jijini Dar es salaam, Mai 2,2013.
Waziri Mkuu mh. Mizengo Pinda
akizungumzana na mtoto wa kwanza wa Waziri wa Kwanza wa Serikali ya
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Julius Tandau wakati alipokwenda
kuhani msiba wa Waziri huyo wa zamani aliyefariki dunia hivi karibuni,
nyumbani kwa maremu, Magomeni jijini Dar es salaam Mei 2, 2013.Picha
na Ofis ya Waziri Mkuu