MAADHIMISHO YA MEI MOSI MAKETE YANOGA

Wafanyakazi wilayani Makete wakiandamana kutoka ofisi za halmashauri ya wilaya kuelekea kwenye viwanja vya mabehewani kwenye sherehe za mei mosi 2013
Wafanyakazi wakiingia katika viwanja vya mabehewani kwa maandamano

 Mwakilishi wa wafanyakazi akisoma risala kwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya Mei Mosi
Msomaji risala akimkabidhi risala mgeni rasmi
 Mtumishi kutoka ofisi ya mkuu wa wilaya ya Makete Bw. Sanga akipewa zawadi ya ufanyakazi bora na mgeni rasmi
 Katibu tawala wilaya ya Makete Joseph Chota ambaye pia ni mgeni rasmi akisoma hotuba kwa niaba ya mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro kwenye sherehe za Mei Mosi wilaya ya Makete
 Kutoka kulia ni mwenyekiti wa CCM wilaya ya Makete Francis Chaula, diwani wa kata ya Iwawa Benjamin Mahenge na katibu wa CCM wilaya ya Makete, Miraji Mtaturu wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi
Baadhi ya wafanyakazi wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo