BURUDANI ya Tamasha la Airtel Yatosha katika viwanja vya Mbagala
Zhakem siku za Jumamosi na Jumapili zilifana kwa kupambwa na burudani
kibao toka kwa wasanii wa kizazi kipya wakiwemo kundi zima la Wanaume
Halisi likiongozwa na Sir Juma Nature, kiongozi wa Tip Top Connection
Madee, Kundi la Wakali Dancers pamoja na wasanii mbalimbali wakiwemo Nay
Wamitego na Roma Mkatoliki.
Akizungumzia juu ya tamasha hilo, Meneja Uhusiano wa Airtel, bwana
Jacksoni Mmbando alisema" tumeweza kushuhudia burdani kabambe kutoka kwa
vikundi mbalimbali vya wasanii wa kizazi kipya na wasanii chipukizi wa
Temeke katika viwanja vya Zhakem - Mbagala, lakini pia mbali na
burudani wateja wa Airtel wameweza kuunganishwa na huduma ya Airtel
Yatosha na kupata elimu kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na faida
zake, wateja waliweza kujiunga na kusajili namba zao”.
"Tunawashukuru Watanzania na wateja wetu wote waliojitokeza kwa wingi kupata burudani hii na tunawaahidi kuendelea kuwapa huduma bora na bei nafuu huku tukiendelea kutanua wigo wa mawasiliano nchini aliongeza "Mmbando
Huduma ya Airtel Yatosha inamuwezesha mtumiaji wa mtandao wa Airtel kupiga simu kwenda mitandao yote kwa gharama poa ya chini kabisa na hivyo kutokuwa na haja tena ya kubadilisha kadi ya simu pindi anapohitaji kuongea na mtu wa mtandao mwingine. Pamoja muda wa maongezi mteja anapata vifurushi vya kutuma ujumbe mfupi na internet na vifurushi hivi vinapatikana kwa siku au kwa wiki, ili kujiunga na huduma hii, piga *149*99# ufurahie huduma poa na ujionee "Airtel Yatosha"