Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Viongozi na Waumini wa Kanisa
Katoliki la Olasiti Jijini Arusha May 7,2013 alikokwenda kutoa pole
kufuatia mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono uliotokea kanisani hapo
May 5,2013 na kusababisha vifo na majeruhi. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Paroko
wa Kanisa Katoliki la Olasiti la Arusha Peddy Castelino akiomba wakati
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipotembelea kanisa hilo May 7,2013 kutoa
pole kufuatia mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono uliotokea kanisani
hapo May 5,2013 na kusabisha vifo na majeruhi. (Picha na Ofisi ya
Waziri)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Paroko wa Kanisa Katoliki la Olasiti
jijini Arusha, Peddy Castelino (kulia) May 7,2013 wakati
alipotembelea kanisa hilo May 6,2013 ambako ulitokea mlipuko wa bomu la
kutupwa kwa mkono na kusababisha vifo na majeruhi. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwapa Pole Askofu wa Jimbo Kuu la Arusha,
Mhashamu Josephat Lebulu (kushoto ) na Balozi wa Vatican nchini, Askofu
Mkuu, Francisco Montecillo (katikati), May 7,2013 baada ya kutembelea
Kanisa Katoliki la Olasiti jijini Arusha ambako May 5,2013 ulitokea
mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono na kusababisha vifo na
majeruhi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akimpa Pole Balozi wa Vatican nchini, Askofu Mkuu,
Francisco Montecillo , May 7,2013, baada ya kutembelea Kanisa
Katoliki la Olasiti jijini Arusha ambako May 5,2013 ulitokea mlipuko wa
bomu la kutupwa kwa mkono na kusababisha vifo na majeruhi. Kushoto
ni Askofu wa Jimbo Kuu la Arusha, Mhashamu Josephat Lebulu (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)