Afisa
Utamaduni Jiji la Tanga, Peter Semfuko (katikati), Matron Hilda Mwinyi
(kulia), na Mratibu wa kamati ya maandalizi Kessy Salum Mbasha (kushoto)
wakiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa fainali za taifa za Miss
Utalii Tanzania 2013, alipokwenda kukagua kambi na kuzungumza na warembo
hao jana katika hoteli ya Mwambani Tanga Beach.
Afisa
Utamaduni Jiji la Tanga, Peter Semfuko (katikati), Mjumbe wa Kamati ya
maandalizi na Mbunifu wa Mavazi ya warembo Aisha Khoja toka Kokoriko
Designer, (kulia) na Mbunifu wa mavazi Edina Katarai ambaye pia ni
mjumbe wa kamati ya maandalizi (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja
na washiriki wa fainali za taifa za Miss Utalii Tanzania 2013,
alipokwenda kukagua kambi na kuzungumza na warembo hao jana katika
hoteli ya Mwambani Tanga Beach.