Muonekano wa kijiji cha Ndulamo
| Afisa Mtendaji wa kijiji cha Ndulamo Bw. Majuto Mbwilo akimuonesha mpiga picha wetu jinsi maji yanavyovuja kutokana na mabomba yanayodhaniwa kutumika kuwa feki |
| Maji yakivuja kutokana na mabomba yanayodaiwa kuwekwa ni feki |
| kila baada ya hatua chache mabomba yanavuja |
Hili ni bomba halisi ambalo lilinunuliwa na Kijiji na kufungwa kwenye mradi huo, na halijapasuka wala kuvuja
| Viungio ambavyo navyo vinasadikika kuwa feki navyo vinavujisha maji |
Hali halisi ndiyo hii
Ni mwendo wa kufumuka mwanzo mwisho
Wakazi hao waliofuatana na mtendaji wao wa kijiji wakimuonesha mwanahabari wetu hali halisi ya jinsi mabomba hayo yanavyofumuka