Na IPP Media
Daktari huyo (jina linahifadhiwa), anayefanya kazi katika Hospitali
ya Vijibweni, Manispaa ya Temeke, anadaiwa kufanya kazi hiyo kwa muda
mrefu sasa bila kujulikana.
Kashfa
imeibuka katika hospitali moja jijini Dar es Salaam ambapo daktari wa
wanawake anadaiwa kuwalazimisha wajawazito kutoa mimba ili kujipatia
fedha.
Siri hiyo iliibuliwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, Yahaya Sikunjema, wakati wa mkutano wa..read more