Waziri
wa Maliasili na Utalii (wapili Kulia)na Naibu wake, Lazaro Nyalandu
wakiteta na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Maimuna Tarishi (wapili kushoto)
na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Nuru Milao kwenye viwanja vya
Bunge Mjini Dodoma Aprili 30, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya
maliasili na Utalii, Maimuna Tarishi (kushoto) kwenye viwanja vya Bunge
Mjini Dodoma Aprili 30,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa
kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 30,2013. Katikati ni
Mbunge wa Kibaha Vijijini, Abuu Hamoug Jumaa.(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube