Wengi wenu mnafahamu kwamba hivi karibuni Lady Jaydee aliwachana
Clouds FM kwa kupitia Twitter na kudai wanarusha nyimbo za wasanii wao
tu hewani.
Kwa msiofahamu, tweet ifuatayo ndiyo iliyoanzisha hii saga:
“Radio ya watu isiopiga nyimbo za wasanii wa watu ila za wasanii wao tu,
wasiopendwa na watu. #JotoHasira”
Lady JayDee – Wasanii wa THT walikatazwa kuja kuimba
Nyumbani Lounge siku ya Valentine na boss wao. Mbali na kuwa
walishalipwa hela za advance
Lady JayDee – Linah na Ben Pol mnabisha hamkukatazwa? Nisalitini ila hamtapata faida mtatoka kapa pia.
Lady JayDee – Walidhani ni show yangu, wakafikiri nitatajirika. Ila nilitoa ukumbi tu wakamsaliti alieandaa show. Not me
Majibu ya Ben Pol:
Ben Pol – @JideJaydee Don’t talk about things your don’t know about. DON’T.
Ben
Pol – @JideJaydee hiyo show kulikuwa na wengine pia wakuperform je wali
perform? kama nililipwa nanikashindwa ku show up, mbona sidaiwi??
Tafakari