Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi Charles
Kitwanga akiangalia Mfumo wa Maji taka kwenye Kiwanda cha Samaki cha
Tanperch Wilayani Ilemela Mkoani Mwanza Kulia Jeneral Meneja Bw Ashak
Vannadil
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga
akipata maelezo Juu ya Uzalishaji wa Chuma kwa Meneja wa Kiwanda cha
Chuma cha Nyakato Steel Bw Ramarao Uppala wakatiNaibu Wazir alipofanya
Ziara ya Kuangalia Uchafuzi wa Mazingira Mkoani Mwanza
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Charles
Kitwanga akitoa Maelekezo kuhusu Uchafuzi wa Mazingira kwenye kiwanda
cha Mwatex kinachotiririsha Maji kwenye Makaazi ya Wananchi Wilayani
Ilemela Mkoani Mwanza Kulia Mkurugenzi Rasilimali Watu Bw Evodius
Gordian.
Naibu Wazir Ofisi ya Makamu waRais Charles Kitwanga akitoa
Maelekezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Bi Amina Juma wakati
alipotembelea kiwanda cha Mwatex Wilayani Ilemela ambacho kinatiririsha
Maji kwenye Makazi ya Wananchi katikati Mkurugenzi wa kiwanda Bw Amin
Ladhan wapili Mkurugenzi Rasilimali Watu Bw Evodius Gordian.Picha na Ali
Meja