Kijana
huyu mkazi wa kibaha kijiji cha kidimu anashikiliwa na polisi kwa kosa
la kumteka msichana wa kijijini hapo na kumfanya mateka wake.Binti huyo
alipotea kwao kwa miezi minne na kupatikana juzi taehe 26 baada ya
kupata upenyo na kutoroka.Hawa vijana wametoka Kigoma na walikuwa Kibaha
wakitumika kama walinzi katika mashamba ya watu
Binti huyo alipotea hapo kijijini toka mwezi wa kumi na moja mwaka jana.Alishatafutwa kila kona ya kijiji hicho,waganga nao kupelekwa kuagua kuonyesha alipo mpaka manyau nyau alishafika huko.
Binti huyo alipotea hapo kijijini toka mwezi wa kumi na moja mwaka jana.Alishatafutwa kila kona ya kijiji hicho,waganga nao kupelekwa kuagua kuonyesha alipo mpaka manyau nyau alishafika huko.
Wazazi
walishaomba sana kanisani na kukata tamaa kuona kwamba kashakufa
wakaweka na msiba kabisa.Kumbe alikuwa yupo kijijini akiwa kafichwa hapo
kama uonavyo katika picha.
Kwa
muda wote alkuwa akiishi kwenye hicho kichumba kama mke wa huyo kijana
tena akiwa chini ya ulinzi mkali.Akapata na mimba kabisa ya miezi miwili
wakamtoa kwa majani ya chai.Alipatikana juzi tarehe 26 baada ya kupata
upenyo na kukimbia.