CHAMA
cha coalition for reform and democracy cord kesho kitawasilisha
pingamizi katika mahakama kuu kupinga matokeo ya kura ya urais yaliyompa
ushindi Uhuru Kenyatta.
Mwanasheria wa chama hicho James
Orengo amewaambia waandishi wa habari jijini Nairobi kuwa, uamuzi wa
kuahirisha kuwasilisha pingaminizi hilo leo na badala kufanya hivyo
kesho ni wa kimkakati.
Orengo, ambaye pia ni waziri wa ardhi
amesema, watu wengi wamefungua kesi kwenye mahakama hiyo, hivyo uamuzi
wa kuwasilisha pingamizi lao kesho unalenga kuhakikisha kuwa kesi yao
inapewa umuhimu unaostahili.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi