Askofu Mkuu wa Kanisa
la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Askofu Dk. Alex Malasusa
akiongoza jopo la Maaskofu kuelekea kwenye eneo la Maziko ya aliekuwa
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi
ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia
Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha
na kuzijika jioni hii kwenye eneo la nje ya kanisa hilo.
Mwili wa Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer ukiwasili eneo la Kaburi.
Maaskofu wakiongoza ibada ya maziko ya aliekuwa
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi
ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia
Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha
na kuzijika jioni hii kwenye eneo la nje ya kanisa hilo.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Askofu Dk. Alex Malasusa akiweka udongo kaburini.
Askofu Mkuu wa Kanisa
la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Askofu Dk. Alex Malasusa
akiongoza ibada ya maziko ya Dk. Laizer jioni hii,jijini Arusha.
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Jimbo la Hai,Mh. Freemon Mbowe akiweka
shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la
Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na
Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013
katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.Wakati wa Mazishi
yake yaliyofanyika jioni ya leo nje ya Kanisa hilo.
Waheshimiwa wabunge waliokuwepo kwenye Mazishi hayo wakielekea kwenye Kaburi
la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
(KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer
kwa kuweka mashada ya maua.
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dk. Reginald Mengi akiweka shada la maua kwenye Kaburi la Dk. Thomas Laizer .
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa salamu zake kwa waombolezaji wa msiba
mkubwa wa aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas
Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali
ya Selian,Jijini Arusha.katika Kanisa Kuu la KKKT jijini Arusha jioni
hii.
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dk. Reginald Mengi akitoa salamu zake.
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Jimbo la Hai,Mh. Freemon Mbowe akitoa salamu zake.
Mbunge wa Jimbo la Arusha,Mh. Godbress Lema akizungumza.
Askofu Mkuu wa Kanisa
la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Askofu Dk. Alex Malasusa
akiongoza ibada ya maalum la kumuombea Marehemu Dk. Laizer kabla ya
kwenda kwenye maziko jioni hii,jijini Arusha.












