Msanii ajulikanae kwa jina la Ally kiba akifanya mambo katika ukumbi wa viavia wakati wa sherehe za valentane day jijini Arusha
mashabiki
walihudhuria kibao katika shoo hii ya siku ya wapendanao wengine
walitokelezea na red huku wakionekana kila mmoja akiwa na mpenzi wake
shoo hii ilidhaminiwa na kituo kikubwa cha radio cha jijini hapa
Kinachotikisa karibia tanzania nzima kituo cha Radio 5
Ally kiba akifanya mambo yake
hii
ni meza ya baadhi ya wafanyakazi wa kituo cha radio 5 kilichoandaa na
kuthamini shoo hii kwa ajili ya siku ya wapendanao wengine waniiita
valentane day
katika
shoo hii kulikuwa na wasanii kibao ikiwa ni pamoja na mzee wa zamani
zairi zoro ambapo mara baada ya kumaliza shoo yake katika ukumbi wa
palace hotel aliamia kumpa mtoto wake banana zoro sapoti ambapo
alionekana ni mtu mwenyefuraha sana
kikundi
cha kontejazz kikifanya maambo wa mbele alieshika mc ni msanii jose
ambaye ndio kiongozi wa kikundi hichi kinachotamba sana jijini hapa