MAMA SALMA KIKWETE AMFARIJI WAZIRI HAWA GHASIA KWA KUFIWA NA BABA YAKE MZAZI

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimfariji leo jioni Waziri wa TAMISEMI Hawa Ghasia kufuatia msiba wa baba yake mzazi Abdulrahman Ghasia uliotokea juzi Kijiji cha Naumbu mkoani Mtwara.
Baadhi ya waombolezaji waliofuatana na Mama Salma Kikwete wakimfariji Hawa Ghasia kwenye msiba huo
Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa Baba Mzazi wa Waziri Hawa Ghasia, Marehemu Abdulrahman Ghasia leo wakati Mama Kikwete akipoenda kumpa pole waziri huyo
Chakula kikigawiwa kwa waombolezaji walkiohudhuria msiba huo. PICHA NA BASHIR NKOROMO


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo