Mkali
Benjamin wa Mambo Jambo ambaye ni msanii kutoka Art In Tanzania
aliye-hit na ngoma kibao kama Nimefulia, My Friend na nyingine
zilizomzolea mashabiki lukuki, Mwaka huu amejipanga vyema kwa kudondosha
mawe kibao.
Benjamin ametoa nafasi kwa mashabiki wake muhimu kusikiliza ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ”Scandal”. Bofya hapo chini kusikiliza ngoma hiyo.
Benjamin ametoa nafasi kwa mashabiki wake muhimu kusikiliza ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ”Scandal”. Bofya hapo chini kusikiliza ngoma hiyo.