MWANAMUZIKI OMAR OMAR AZIKWA KATIKA MAZINGIRA YA VURUGU


Baadhi ya wasanii wakibadilishana mawazo kabla ya maziko.


Waombolezaji akina mama.


Dully Sykes (katikati) akiwa na mapacha Sunche na Kapeto.


Baadhi ya wanamuziki wa kizazi kipya.


Mlevi mmoja akicheza mbele ya waombolezaji.


Mwili wa marehemu ukisaliwa nyumbani kabla ya kupelekwa makaburini.


Umati ukiwa tayari kwenda makaburini.


Vurugu zikiendelea wakati wa kwenda kuzika.


Vijana waliosababisha vurugu
wakisukumana.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo