RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA TROIKA CHA SADC IKULU DAR ES SALAAM

 Mwenyekti wa Asasi ya Siasa,ulinzi na Usalama ya SADC Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha asasi hiyo kilichofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Rais wa Namibia Hifikepunye Pohamba ,Katibu mkuu wa SADC,Dk.Tomaz Salomao,Rais Armando Guebuza wa Msumbiji,,Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe na kulia ni Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini. (Picha na Freddy Maro)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo