Tunaomba radhi mpenzi msomaji wa mtandao huu kwa kuwa picha hii inatisha, tumelazimika kuiweka ili kuonesha hali halisi
Imetokea kwenye jimbo la Niger, aliofanya unyama huo ni mwanafunz wa
chuo cha Federal University of Mechnology Minna, anaitwa Godwin Edeko na
ameshakamatwa na Niger state police, mtuhumiwa alijifungia ndani na
msichana huyo kwa siku 3, majirani walisikia kelele,na jamaa
akakimbia,majirani walivyoona kimya wakaingia ndani na wakamkuta msichana
amekatwa kichwa,uchunguz zaidi unaendelea.
MWANAFUNZI AMKATA KICHWA 'GIRLFRIEND' WAKE MARA BAADA YA KUFANYA NAYE MAPENZI
By
Unknown
at
Thursday, January 10, 2013