Habari Waungwana
Natumaini u na afya njema hasa katika kusherekea Miaka 49 ya Mapinduzi
ya Zanzibar,Pamoja na hivyo bado tuna jukumu kubwa katika kuikomboa
Jamii yetu ambayo ipo katika Mazingira Magumu hasa katika upatikanaji
wa habari lakini pia kutoibua Changamoto zilizopo katika Jamii huska.
...
Kwa kutambua umuhimu wa Jamii yetu,JAMII INFORMATION NETWORK (JIN) ni
Asasi ambayo imeamua kusogelea Jamii katika kuibua Changamoto
mbalimbali na Kuipasha Jamii hska habari. Tunapenda kuitumia blog hii
kuitangaza Blog ya Asasi ya Jamii Information Network ambayo itakuwa
ikielezea mambo mbalimbali yanayofanywa na Asasi hiyo
Tembelea blog hii kila Mara www.jamiiinformation.blogspot.com