BREAKING NEWS:WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASA APATA AJALI BWAWANI MOROGORO


Habari zilizotufikia ndani ya chumba chetu cha habari ni kwamba Waziri mkuu Mstaafu na Mbunge Wa Monduli Mh Edward Lowasa amepata ajali leo mchana eneo la bwawani barabara kuu ya morogoro dar es salam.

Mh Lowassa alikuwa njiani kutoka dar es salaam kwenda morogoro na ndipo alipopata ajali gari yake ilipogongana na basi lililofahamika kwa jina moro linalofanya safari zake kati ya kilombrero na dar es salam.Mpaka  tunaondoka eneo hilo hakuna  mtu aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa.

Gari ya waziri mkuu mstaafu ndiyo iliyoharibika kwa kuvunjika vioo


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo