MARANGU WALIA NA DARAJA LA HUNA

Mkazi wa Sembeti, Kata ya Marangu Wilaya ya Vunjo  Mkoani Kilimanjaro akiangalia eneo la ujenzi wa daraja Huna ambalo ni zaidi ya miaka 8 sasa Ujenzi wake haujakamilika huku Wananchi wa eneo Hilo wakiendelea kuteseka na usafiri wa uhakika hasa waa magari katika kipindi cha Mvua. Wananchi wa eneo hilo wanamuomba Munge wao Augustino Lyatonga Mrema kuingilia katika Ujenzi huo ambao unadaiwa kutokamilika baada ya fedha za mradi huo kutafunwa na Wajanja.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo