skip to main |
skip to sidebar
KESHO NI UJIO WA NGOMA MPYA YA ROMA MKATOLIKI IITWAYO "2030"
Baada ya kukaa kimya kwa zaidi ya mwaka bila kutoa ngoma mpya,
hatimaye rapper Roma anatarajia kutoa ngoma yake mpya kesho Ijumaa.
Ngoma hiyo inaitwa 2030 na kama kawaida yake amezungumza masuala
mengi pamoja na kutaja majina ya watu wengi maarufu kwa kuoanisha na
matukio.
Hit ya mwisho aliyoitoa Roma ni Mathematics.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi