Hii ni barabara iliyopo ndani ya majengo ya halmashauri ya wilaya ya Makete ambayo imejaa maji baada ya mvua kunyesha kwa saa moja tuna si mfululizo, je ikinyesha masaa mawili ama matatu mfululizo si itakuwa balaa?
Mtandao huu wa eddymoblaze.blogspot.com unashauri miundombinu ya kupitisha maji (mifereji) izibuliwe mapema ili maji yaweze kupita vinginevyo hapa patakuwa hapatoshi siku chache zijazo kwa jinsi navyozifahamu mvua za Makete
Maji yakikosa uelekeo yataendelea kuharibu zaidi na zaidi