Leo Jumatano 31.10.2012 ni mwaka mmoja umepita tangu show ya Naongea na wewe ianze kuruka rasmi redioni kupitia Kitulo Fm 97.0. Show hii inaendeshwa nami Edwin Moshi (Eddy Mo Blaze) na Tatu Sijaona (Taty) kila Jumatu hadi Ijumaa kuanzia saa 11:00 jioni hadi 01:30 usiku.
Tunashukuru sana kwa support ya wasikilizaji wote ambao tupo pamoja, na nina imani Mungu atazidi kutuongoza ili kuifanya show hiyo izidi kubamba kila siku!
HAPPY BIRTHDAY 'NAONGEA NA WEWE' SHOW