Pamoja na Waziri wa uchukuzi kukataa mabasi kushusha abiria ili wachimbe dawa tangu Septemba mosi mwaka huu, bado zoezi la kuchimba dawa linaendelea kama kawa!
UCHIMBAJI DAWA KWA MABASI YA MIKOANI BADO WAENDELEA LICHA YA SERIKALI KUKATAA
By
Unknown
at
Friday, September 21, 2012
