Wiki hii ya usalama barabarani bado changamoto kama ionekanavyo hapa askari akipima ajali iliyotokea eneo la Kimara jijini DSM
Ajali hii imetokea eneo Kibaha mkoani Pwani, na haikuweza kufahamika mara moja kama kuna mtu aliyefariki
Ujenzi wa barabara ya Morogoro jijini DSM unaendelea
Picha zote juu zinaonesha ujenzi wa daraja la kuvukia watu eneo la Kimara mwisho jijini DSM
Meseji 'of the day'
Mnaonaje haya magari yakiwa ya Chama?







