Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua na kutoa
heshima
zake mwisho kwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Marehemu Meles Zenawi
katika ikulu ya Addis Ababa Jana jioni
Rais
Jakaya Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo ikulu ya Addis Ababa
jana, kufuatia kifo cha Waziri Mkuu wa Ethiopia marehemu, Meles Zenawi. Wengine katika picha ni baadhi ya wajumbe waliofuatana na
Rais Kikwete watakoshiriki mazishi ya kiongozi huyo. Kutoka kushoto ni,
Livingstone Lusinde, Aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania nchini Ethiopia,
Jenerali Mirisho Sarakikya, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Joram
Boswaro,Zitto Kabwe na Waziri wa Kazi wa Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar, Haroun Ali Suleiman.
Picha na Freddy Maro-IKULU
Picha na Freddy Maro-IKULU