USHAURI WA LEO

KATIKA JINA LA MUNGU BABA, MUNGU MWANA, NA MUNGU ROHO MTAKATIFU ALIYE BWANA NA MWOKOZI WAULIMWENGU WOTE. NINAKUOMBA UIBADILI, NA UIBARIKI FAMILIA YANGU, KAKA ZANGU, DADA ZANGU, WAZAZI WANGU, WAJUKUU ZANGU NA WATU WOTE WA DUNIA HII WAKUJUE WEWE EE YESU KRISTO WA NAZARETH MWANA WA MUNGU ALIYE HAI, NA KUKUPOKEA UWE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YETU YOTE, KWA MAANA UMESEMA KWENYE NENO LAKO YA KWAMBA HUPENDEZWI NA KIFO CHA MWENYE DHAMBI. (ZAB 7:11, EZEK 18:32 NA EZEK 33:11)
 1.     KATIKA UPENDO NA UVUMILIVU MAMBO YOTE YANAWEKANA Hii nakala imepelekwa kwako na kwa bahati yako. Mwanzo wa barua hii ni New Zeland Imezunguka Dunia mara 9 sasa. Na bahati imetua kwako. Usipeleke pesa kwani imani hainunuliwi peleka sasa nakala 28 kwa watu unaowajua. Usiweke barua hii, itoke mikononi mwako muda wa siku 10.
 
2.      Kumbuka barua hii inatakiwa itoke mikononi mwako kwa muda siku 10.     AHSANTE.
 
3.      MUNGU atubariki sasa na hata milele.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo