Picha mbalimbali zikionesha namna wakazi wa Makete wakipata taabu ya kupita kwenye barabara za mitaa kutokana na kujaa vumbi jingi.
wengi wao walipendekeza barabara hizo zijengwe karibia na masimu wa mvua ili kuepuka adha hiyo ama wakandarasi/serikali iendelee kumwagia maji barabara hizo ili kuondoa kero ya vumbi


