


Mtu aliyefariki baada ya kupigwa riasi
kichwani, jina lake bado halijafahamika
Wafuasi
wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema
Askari waliokuwa katika eneo la tukio kabla
ya kuanza kwa maandamano hayo
Moshi wa mabomu yaliolipuliwa kutawanya
maandamano ya chadema leo mjini morogoro
Gari la chadema lililokuwa likiongoza
maandamano hayo
Mmoja wa kiongozi wa chadema akiwa amekamatwa
akiwa ndani ya gari la polisi
Wafuasi wa chadema wakiwa na maandamao hayo
mjini morogoro
Picha kwa hisani ya
Morogoroyetu blog