UBALOZI
WA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WASHINGTON D.C.
UNAWALETEA
SIKU YA
MTANZANIA
Mahali: Tanzania
House, 1232 22Nd Street, N.W. Washington
D.C.; 20037
Tarehe: SEPTEMBA
15, 2012 Kiingilio: BURE
Muda: (Saa
4:00 asubuhi – Saa 12
Jioni)
Ubalozi
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani, Washington D.C.
unawakaribisha Watanzania wote waishio
maeneo ya DMV (District of Columbia, Maryland na Virginia) na
vitongoji
vyake, kuhudhuria siku ya Mtanzania, ambapo Watanzania watashiriki
kwenye
kuonyesha bidhaa, tamaduni, mila na desturi za Kitanzania kwa wageni
(Wamarekani
na wa Mataifa mengine) watakaotembelea ubalozini.
Madhumuni
makuu ya Ubalozi kuandaa Siku ya Mtanzania kwanza ni kuwaelimisha
wenyeji wa
Marekani kuhusu Tanzania.
Pili kuitangaza zaidi Tanzania
kwa kuvutia watalii wengi kutembelea Tanzania. Tatu ni kutambulisha na
kutangaza biashara mbalimbali na huduma
zitolewazo na Watanzania waishio hapa Marekani.
Ubalozi unaomba
Watanzania wenye bidhaa
mbambali za Kitanzania, mapishi (wenye leseni), vikundi vya ngoma,
muziki,
mitindo, na Watanzania wenye kampuni za utalii, kujiandikisha ubalozini
kuanzia
tarehe 1 hadi 15 Agosti, 2012 kwa maandalizi ya siku hiyo.
Kwa Watanzania
watakaopenda kujitolea
kushiriki siku hiyo au kuonyesha bidhaa mbalimbali wajiandikishe kwa
wafuatao:
Dkt. Switbert Mkama 202
884 1087 au
barua pepe smkama@tanzaniaembassy-us.org
Asia Dachi 202 884 1096
barua pepe adachi@tanzaniaembassy-us.org
Rosemary Mziray 202 884
1081 au barua
pepe rmziray@tanzaniaembassy-us.org
Ubalozi unapenda
kuwahamasisha Watanzania kuvaa vazi la Kitanzania.
Karibuni
Wote.
EMBASSY
OF
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA IN WASHINGTON
D.C.
PROUDLY
PRESENTS
TANZANIA DAY
Venue: Tanzania
House, 1232 22Nd Street, N.W. Washington
D.C.; 20037
Date: SEPTEMBER
15, 2012 Fee: FREE Time: (10:00
a.m – 6:00p.m)
Have
you ever climbed Mt.Kilimanjaro the highest
mountain in Africa? Have you ever
been on a Safari
through the Ngorongoro Crater? Have you ever seen the wildebeest migration through
the
Serengeti Plains?
And did you know
that the 3.6 billion years old footprints
of human ancestors were discovered
in Laeitoli, Tanzania?
Come discover
the land of Kilimanjaro and Zanzibar, wrap yourself with Swahili culture, music,
food, dancing and many more in this memorable one
day event packed with fun activities.
In
addition to culture expose, there will also be experts on trade and
investment in
Tanzania,
tour operators selling different Tanzanian packages and many more,
ruffle
drawings of interesting Tanzanian gifts.
Come
one, come all, we have something for everybody!
KARIBUNI TANZANIA
MAMBO POA