Na Kenneth Ngelesi, Mbeya
TIMU soka ya Mbeya City
ya jiji hapa imewasilisha majina ya wachezaji 25 shiurikisho la mpoira wa miguu Tanzanai
TFF kwa ajili ya ligi daraja la kwanza Tanzania Bara inayo tarajiwa kuanza
kutimua vumbi mwanzoni mwa Septemba mwaka huu.
Kwa mujibu wa barua iliyo andikwa
na katibvui wa ti iu hiyo Emmanuel Kimbe inaonyesha kuwa majira hayo yalisha
tumwa Agast 14 mwaka huu kwa njia ya simu ya mkononi.
Aidha katika barua hiyo iliyo tolewa
kawa vyombo mabalimbalai vya habaari inaonyesha majinja yas wachezaji walio
sajiliwa kwa ajili ya ligi kuwa ni Geofrey Mwalyego,Amani Simba,Khalifa
Joo,Baraka Haule,John Kabanda, Hassani Mwasalipa, Hamad Kibopile na Yusuph
Lulinda.
Wengine ni Deogratius Deo,Richard
Mwangobola,Yohana,Ng’onye,Antony Matogolo,Richard Mwakalinga,Godfrey
Namwandu,Fidelis Maganga,Deus Kaseke, Yusuph Mbijima,Steven Mazanda,Innocent Namwandu ,Yona Ndabila Mwaga,e Mbeyela Herry
Ng’onye Harun Ngalison, Alex Seth na Patrick Mboma.
Aidha katika barua hiyo inaonyewsha
kuwa maegeja wa tim u ni Juma Mwambusi na
ambaye atalkuwa akisaidiwa na Maka Mwalwisi na mganga wa timu hiyo ni
Joshua Kaseko
Timu ya Mbeya City inajiwinda na hatua
ya kupanda daraja na hatimaye iweze kucheza ligi kuu mwakani baada ya kuishindwa
kutinga ligi kuu mwakuu katika hatua ya
tisa bora ilifanyika ,Aprili mwaka mujni
Morogoro.
