Mmiliki wa blog ya www.mwanawaafrika.blogspot.com Augustine Mgendi
Kwanza kabisa napenda kuwashukuru
wadau wote wote wa blog
hii ya Mwana wa Afrika kwa support yenu mliyonipa tangu naanzisha blog
Agost 20
mwaka 2010 ambapo lep natimiza miaka 2 tangu nimeanza kuwahabarisha
kupitia
blog hii.
Najua bila nyie wadau nisingeweza kueleafikia hata hii leo,napenda kuwahakikishia kuwa nitaendelea kuwahabarisha habari mbalimba kutoka mkoani Mara na nje ya mkoa wa Mara naamini nitaendelea kuwahabarisha kadri Mola atakavyoniwezesha.
http//www.mwanawaafrika.blogspot.com

Mtandao huu unakutakia kila la heri na mafanikio tele mdau Augustine Mgendi na mungu akujalie mengi katika kuielimisha jamii, Ameeeen