AJALI ILIYOTOKEA LEO WAMI NA KUUA WATU 11

Ajali nyingine mbaya imetokea maeneo ya Wami mkoani Pwani na kuua raia 11 kutoka Nchini Kenya.

Na tayari Rais wa Kenya, Mwai Kibaki ameagiza Serikali ya nchi hiyo kuileta ndege nchini Tanzania kuchukua majeruhi.


Tanzania imekuwa ikishuhudia ajali nyingi mbaya na zakusikitisha ambazo zimekuwa zikipoteza nguvu kazi ya taifa.

...

Je ni kweli kwamba serikali imeshindwa kabisa kupata mwarobaini wa ajali hizi?



JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo