Wauguzi wakiwa ukumbini tayari kwa maadhimisho yao
Moja ya muuguzi wilayani Makete akitoa nasaha zake
Mganga mkuu wilaya ya Makete Dk Ahmad Shabaan akimsaidia Mgeni Rasmi kuwasha mshumaa
Mgeni rasmi akifurahi mara baada ya kuwasha mshumaa wake
Wageni waalikwa wakiwa na mishumaa yao
Wauguzi wa wilaya ya Makete wakiimba shairi
Mgeni rasmi ambaye pia ni mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Makete Bi. Imelda Ishuza akisalimia wauguzi (hawako pichani)
Hii ni moja ya alama iliyopo katika wodi ya wazazi katika hospitali ya wilaya ya Makete
Mgeni rssmi akiwasalimia moja ya mgonjwa aliyelazwa katika hospitali ya wilaya ya Makete
hapa mgeni rasmi akipokea hotuba ya Wauguzi

